Kashida katika Shida

Yahya Mutuku

PDF

"Kashida amezaliwa katika familia na jamii ambayo inamkana. Inamkataa na kumchukia. Ananusurika kutolewa kafara na kufika nchi ngeni lakini matatizo yanazidi kumwandama. Kuna kitu cha ajabu mwilini pa Kahida na wakionacho kitu hicho ndio wanaozidisha taabu zake. Kashida anaporejea nyumbani anapangiwa kuuawa ili milki isipate majanga. Soma hadithi hii uelewe hali ya Kashida."

KSh 200.00 LICENCE: 1095 DAYS ONLY
9789966115133
4.87 mb
Swahili
2018-08-01
Queenex Publishers Ltd
1
1095
5
Unauthorised downloading, copying, distribution or exploitation of this content is an infringement of intellectual property rights and may be a criminal offence. Your purchase and download of this content is for your personal use, and you agree not to modify, copy, or share it with any other person.