Hii ni hadithi inayozungumzia jinsi kijana mmoja, Gambo, anavyojipata katika hali tatanishi. Baadaye, Gambo anafanikiwa kikwepa mitego yote ya kimaisha na hatimaye anatimiza ndoto yake. Isome hadithi hii ujue jinsi ya kufanya bidii ili kutimiza ndoto yako.