Kiswahili Mufti darasa la 6 ni kitabu kinachotimiza mahitaji na mada zote za silabasi ya mwaka wa 2003. Kimeandikwa kwa uangalifu mkubwa ili kumwezesha mwanafunzi kukielewa vyema kutoka mazingira mablimbali.Kitabu hiki kimeshughulikia vipengele muhimu kama vile ufahamu wa lugha, sarufi,matumizi ya lugha,kusoma. kuandika, mtungo ma mazoezi. Kitabu hiki kinaweza tumika kwa mafundisho, marudio na marejeo kwa ajili ya mafunzo na mazoezi.