Stadi za Kiswahili Shughuli za Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 1

Kipande, Mwalimu

EPUB

Stadi za Kiswahili,Shughuli za Lugha, Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 1 ni kitabu cha kiada kilichoandikwa kwa mujibu wa mtaala mpya uegemeao umilisi uliozinduliwa na Taasisi ya Ukuzaji Mitaala ya Kenya (KICD) mnamo Septemba 2017.Kitabu hiki kimejumuisha mada zote kuu na ndogo zilizomo katika ruwaza ya mtaala ya kiswahili cha Gredi ya 1.Isitoshe, mada kuu na ndogo zimepangwa kulingana na jinsi zilivyopangwa katika ruwaza hiyo.

KSh 251.00 LICENCE: 1095 DAYS ONLY
9789966630520
33.77 mb
Swahili
2018-01-01
Moran (E.A.) Publishers Limited
1
1095
5
Unauthorised downloading, copying, distribution or exploitation of this content is an infringement of intellectual property rights and may be a criminal offence. Your purchase and download of this content is for your personal use, and you agree not to modify, copy, or share it with any other person.