Sungura Hakimu na Hadithi Nyingine

Yahya Mutuku

PDF

Sungura ni mvivu na hataki kufanya kazi. Hata hivyo anatamani maisha ya raha mustarehe kama mfalme. Ni lazima atumie akili vizuri la sivyo atakufa njaa. Sungura Hakimu na hadithi nyingine ni hadithi ambayo imeandikwa kwa namna ya kupigiwa mfano. Sungura anatoka katika hali ya umaskini wa ombaomba na kuwa mfalme. Namna gani? Isome hadithi hii na nyingine ufaidi utamu wake.

KSh 120.00 LICENCE: 365 DAYS ONLY
9789966075550
20.17 mb
Kiswahili
2017-03-31
Queenex Publishers Ltd
1
365
5
Unauthorised downloading, copying, distribution or exploitation of this content is an infringement of intellectual property rights and may be a criminal offence. Your purchase and download of this content is for your personal use, and you agree not to modify, copy, or share it with any other person.